BREAKING: Mbunge wa Bunda Mjini Ester Bulaya amekamatwa na Polisi

 
Taarifa zilizonifikia kutoka Bunda katika Mkoa wa Mara zinasema kuwa Mbunge wa Bunda Mjini Ester Bulaya amekamatwa na Jeshi la Polisi Mara kwa agizo la Mkuu wa Wilaya Tarime Glorious Luoga.
Ayo TV na millardayo.com zinaendelea kufuatilia na enelea kuzifuatilia kupata taarifa zaidi…


BREAKING: Mbunge wa Bunda Mjini Ester Bulaya amekamatwa na Polisi BREAKING: Mbunge wa Bunda Mjini Ester Bulaya amekamatwa na Polisi Reviewed by MIKASA_SIMULIZI on August 19, 2017 Rating: 5

No comments

Search Blog