HABARI ZA HIVI PUNDE Mbunge Ester Bulaya amelazwa baada ya kuugua akiwa rumande

Taarifa iliyonifikia usiku huu kutoka Tarime mkoani Mara ni kuwa Mbunge wa Bunda Mjini Ester Bulaya amewahishwa katika Hospitali ya Wilaya ya Tarime baada ya kuugua akiwa rumande ambako alikuwa ameshikiliwa na Polisi baada ya kumkamata akiwa Hotelini, Tarime.
Katibu wa Mbunge Tarime Vijijini, John Heche, Mrimi Zabron amesema Bulaya anasumbuliwa na kifua ambacho kimesababisha ashindwe kuzungumza lakini hata hivyo Madaktari wanaendelea na matibabu.
HABARI ZA HIVI PUNDE Mbunge Ester Bulaya amelazwa baada ya kuugua akiwa rumande
Reviewed by MIKASA_SIMULIZI
on
August 21, 2017
Rating:
No comments