siyo uchawi ...Ng’ombe wa Blue aliyeonekana Mto Ruvu

Dunia ina maajabu mengi ambayo hayaishi ambapo kama hujayaona basi utasimuliwa lakini katika maajabu ambayo nisingependa yakupite ni pamoja na haya yaliyotokea Mto Ruvu ambako alionekana Ng’ombe wa rangi ya blue akinywa maji.
siyo uchawi ...Ng’ombe wa Blue aliyeonekana Mto Ruvu
Reviewed by MIKASA_SIMULIZI
on
August 20, 2017
Rating:
No comments