MAMA DIAMOND KUKABEBA KICHANGA CHA HAMISA.. MJUKUU
SEKE SEKE lazidi kupamba moto huku mamia ya WATANZANIA wakitaka kumfahamu baba halisi wa mtoto wa HAMISA ambapo mpaka muda huu haijulikani ni nani na huku miongoni mwa watu wengi waki mshuku DIAMOND kuwa huenda akawa ndio baba halisi wa mtoto huyo...
video inayomuonesha mama mzazi wa msanii huyo yachukuliwa kama ushahidi kuwa mtoto huyo ni wa DIAMOND
MAMA DIAMOND KUKABEBA KICHANGA CHA HAMISA.. MJUKUU
Reviewed by MIKASA_SIMULIZI
on
August 17, 2017
Rating:

No comments