lijue Jina la mtoto wa Hamisa Mobetto huko INSTAGRAM ...

Headlines za mtoto wa Hamisa Mobetto bado zimekuwa zikisambaa katika mitandao mbalimbali zikidai kuwa mtoto huyo ni mwimbaji Diamond ingawa hadi sasa zimekuwa zikikanushwa na pande zote mbili.
Licha ya kuwa wawili hao kukanusha lakini wengi wamekuwa wakihoji jina la mtoto huyo ambaye amefunguliwa account ya Instagram kwa jina la ‘Abdulnaseeb_tz’ ikiwa na followers zaidi ya Elfu 50.
lijue Jina la mtoto wa Hamisa Mobetto huko INSTAGRAM ...
Reviewed by MIKASA_SIMULIZI
on
August 17, 2017
Rating:

No comments